Azam yamfunga Chilambo miwili zaidi

0
Spread the love

Beki mahiri wa kulia, Nathaniel Chilambo amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea Azam FC hadi mwaka 2025.

Spread the love
Nathaniel Chilambo (Picha: Hisani Azam)

Mlinzi wa kulia wa Azam FC Nathaniel chilambo ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka.

Chilambo aliyejiunga na Azam mwaka 2022 kutoka Ruvu Shooting ya Mlandizi sasa atasalia kwa waoka mikate wa Chamazi hadi mwaka 2025., 

“Najisikia faraja sana kuongeza mkataba kwa ajili ya kuzidi kuitumikia Azam FC, nitapambana nitaonyesha naamini utakuwa msimu bora kwangu.” Alisema Chilambo, baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia klabu yetu.

Chilambo mwenye uwezo wa kutumia miguu yote miwili kwa ufasaha mkubwa ni mchezaji wa tatu kuongeza mkataba ndani ya Azam.

About Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

P